wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?
Wenje hafai na 2015 tunampiga chini......zamani alikuwa anavaa kikoti cha kimodo ila siku hizi anavaa jikoti kuub.wa kitambi hihaaaa! Alafu mbaya zaidi kahamia Dar...na hiyo barabara ya Pamba Rd huwa wanaweka viraka tu baada ya mwaka m.moja inarejea vilevile!!!
Ina dhihirisha jinsi ulivyo ------- we unajua mmiliki wa hiyo Barbara nani kati tanrod name halmashauri au unaongea upumbavu 2
Mkurugenzi yuko likizo?? alimkabidhi lini wenje ofisi,,meya mabula anafanya nini?? acha ujinga changamka,wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?
Wenje hafai na 2015 tunampiga chini......zamani alikuwa anavaa kikoti cha kimodo ila siku hizi anavaa jikoti kuubwa kitambi hihaaaa! Alafu mbaya zaidi kahamia Dar...na hiyo barabara ya Pamba Rd huwa wanaweka viraka tu baada ya mwaka mmoja inarejea vilevile!!!

kazi za mbunge ni nini nyie bavicha?