Palestinians say no talks without settlement curbs

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
New setback to bog down U.S. efforts to salvage negotiations

aptopix%20mideast%20israel%20palestinians%20-2130618095_v2.grid-6x2.jpg

Oded Balilty / AP Palestinians participate in a rally marking 10-years since the starting of the second Intifada, in Kafar Kana, in northern Israel, on Friday. It has been 10-years since Palestinians began an uprising that swept away peace talks, triggered a ferocious reaction by the Jewish state and left thousands dead on both sides.

RAMALLAH, West Bank — Senior Palestinian politicians on Saturday backed President Mahmoud Abbas' demand to link peace talks to restrictions on Israeli settlement building, delivering a new setback to bogged down U.S. efforts to salvage the negotiations.
The announcement came after a three-hour meeting Saturday of dozens of leaders of the Palestine Liberation Organization and Abbas' Fatah movement.

"The Palestinian position is clear," said senior Abbas aide Nabil Abu Rdeneh. "There will be no negotiations as long as settlement building continues."

However, this may not be the last word from the Palestinians. A final decision is only expected at an Arab League summit in Libya next weekend. This gives U.S. envoy George Mitchell a few more days to try to broker a compromise. Earlier this week, he shuttled between Abbas and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu for four days, but made no apparent progress.

Israeli government officials had no immediate comment Saturday.
Mohammed Dahlan, a Fatah leader, said the Palestinians will now begin to prepare for the potential collapse of the talks. PLO and Fatah officials formed a joint committee to discuss the possibility of asking the U.N. Security Council to unilaterally declare a Palestinian state in the West Bank, Gaza and east Jerusalem, the territories captured by

Israel in the 1967 Mideast War.
The committee will also discuss ways of reconciling with the Islamic militant Hamas, Abbas' main rival, Dahlan said. Hamas wrested the Gaza Strip from Abbas in a 2007 takeover and has repeatedly urged him to quit negotiations. Hamas considers such talks

As Abbas heads into a fateful week of diplomacy, the backing from the PLO and Fatah is bound to strengthen his hand.
Netanyahu is adamant about not extending a 10-month-old moratorium on West Bank housing starts that expired a week ago, despite appeals by the U.S. and the European Union to keep the building curb in place. Abbas says there's no point in negotiating while Israeli settlements keep taking over more of the lands the Palestinians want for a future independent state.
Mitchell, meanwhile, is moving to enlist the help of Arab leaders, and met with Qatari leaders on Saturday. He then traveled to Cairo for talks with senior Egyptian officials, including Intelligence Chief Omar Suleiman and Foreign Minister Ahmed Aboul Gheit.
In remarks published Friday, Aboul Gheit issued surprising criticism of the Palestinian position of making talks contingent on the settlement building restrictions, saying the sides should concentrate on drawing the borders of a Palestinian state.
In the West Bank, PLO and Fatah officials have overwhelmingly spoken out against continued negotiations.

Hanan Ashrawi, a member of the PLO Executive Committee, said the international community's failure to get Israel to halt settlement expansion does not bode well for the talks, where much more explosive issues will be on the table, such as the partition of Jerusalem. President Barack Obama wants Abbas and Netanyahu to negotiate the terms and borders of a Palestinian state within a year.
Ashrawi said there's a limit to Palestinian flexibility.
"The whole world is demanding that he (Netanyahu) stop settlements, and he is telling the world that Israel is above the law," she said. "If things continue like this, if before beginning final status negotiations the U.S. says it is unable to pressure Israel, and if the world is looking on, and no one is able to tell Israel to stop settlements, then what is the benefit of negotiations?"

The international community maintains that the settlements on lands Israel captured in the 1967 Mideast war, now home to half a million Israelis, violate international law.
Briefing his staff on Friday, Netanyahu voiced frustration with the Palestinian position, noting that Palestinians didn't insist on a settlement freeze during the past 17 years of intermittent negotiations. He said it wasn't easy for him to get his hard-line coalition to back the initial moratorium, and that some construction during the next year is unlikely to affect the negotiations.

Source: Palestinians: No talks without settlement curbs - World news - Mideast/N. Africa - msnbc.com

Matatizo ya Wa Palestina na Wa israel hayata kwisha mpaka siku ya hukumu itakuwa hivyo hivyo piga nikupige uwa nikuuwe,mpaka siku ya kiama.
 
Matatizo ya Wa Palestina na Wa israel hayata kwisha mpaka siku ya hukumu itakuwa hivyo hivyo piga nikupige uwa nikuuwe,mpaka siku ya kiama.

70% of Palestinians lives in Jordan,
The remaining 30% lives on west side of Israeli territory and they demand to be given that land by force.

Solution to this problem is very simple, to send these 30% to where they came from.

There is no such thing as a Palestinian Language, Palestinian country has never existed in the history of the world, Palestinians people is just a phrase coined in 1948 for Political and religious reasons
 
sharon%20w%20dayan.jpg

Kwa sasa Israel hana mpinzani mashariki ya kati period! Wanafaidika kutokana na mgawanyiko mkubwa uliopo baina:

- Hamas na PLO/Fatah

- Mgawanyiko baina ya mataifa ya kiarabu kuhusu suala la Israel/Palestine. Warabu hawana ule umoja waliokuwa nao kabla ya vita ya 1973.

- Kupungua kwa ushawishi wa U.S kuhusu hatima ya suala la Israel na Palestine, haswa kutokana na kukuwa kwa uchumi wa Israel

- Ubinafsi uliokithiri ndani ya mataifa ya Kiarabu, haswa katika tawala za kifalme ambazo zinahofia usalama wao kutoka kwa waislam wenye siasa kali kama Hamas na Muslim Brotherhood. Hili limewaachaa Uturuki peke yao katika masuala ya Mashariki ya kati.

Ingawa hali hii inaweza kubadilika wakati wowote endapo kutatokea mabadiliko ya kisiasa kwenye nchi kama Egypt, au kuungana kwa kwa FATAH na PLO, vinginevyo Israel hana mpinzani.
 
Hujajuwa kuwa Mpinzani Mkuu wa israil ni iran siyo waarabu. Israil yenyewe inamuogopa Mu iran kwani katika Mashariki ya kati sasa kuna Wababe wawili Wakubwa Israil na Iran, israil inamuhofia iran katika Mashariki ya kati ingawa pia yupo Mturuki nae katika hilo suala la Mashariki ya kati lakini huyo mturuki ni Rafiki mkuu wa israil pamoja na amerika. Waarabu ni Wanafiki katika mashariki ya kati.
 
Mti Mkavu, nitakubaliana na wewe kwenye suala hili endapo tutakuwa tunaongelea the "regional power" katika ghuba ya Uajemi. Lakini kwenye suala la Uhuru au uanzishaji wa Taifa la Palestina, nadhani mambo ambayo nimeyaelezea hapo juu ndiyo yanayochangia kwa kiasi kikubwa utata wa uhuru wa Wapalestina.

Kwa mtazamo wangu, Iran wanalitumia suala la Wapalestina ili kujaribu kupata support ya nchi nyingine za Kiislam. Lakini kama tunavyojuwa, wengi wao hamuamini Muiran kwa sababu ya vurugu zake na siasa zenye msimamo mkali.
 
sharon%20w%20dayan.jpg

Kwa sasa Israel hana mpinzani mashariki ya kati period! Wanafaidika kutokana na mgawanyiko mkubwa uliopo baina:

- Hamas na PLO/Fatah

- Mgawanyiko baina ya mataifa ya kiarabu kuhusu suala la Israel/Palestine. Warabu hawana ule umoja waliokuwa nao kabla ya vita ya 1973.

- Kupungua kwa ushawishi wa U.S kuhusu hatima ya suala la Israel na Palestine, haswa kutokana na kukuwa kwa uchumi wa Israel

- Ubinafsi uliokithiri ndani ya mataifa ya Kiarabu, haswa katika tawala za kifalme ambazo zinahofia usalama wao kutoka kwa waislam wenye siasa kali kama Hamas na Muslim Brotherhood. Hili limewaachaa Uturuki peke yao katika masuala ya Mashariki ya kati.

Ingawa hali hii inaweza kubadilika wakati wowote endapo kutatokea mabadiliko ya kisiasa kwenye nchi kama Egypt, au kuungana kwa kwa FATAH na PLO, vinginevyo Israel hana mpinzani.

Uchumi wa Israel unategemea zaidi foreign aid kutoka Marekani. Haimake sense nchi ya Israel ambao ni ndogo lakini wana uchumi sawa na nchi za Ulaya au Canada.
Matajiri wengi Marekani ni Waisrael, yote kwa sababu wana controll most of financial Institutions; kitu kinachowasaidia kupata hela kwa low interest rate. Hiyo mikopo yenyewe inatolewa kwa ubaguzi. Jew - Alan Greenspan by another Jew - Ben Bernanke.

Ktk kampuni nyingi zinazomilikiwa na WanaIsrael, utaona CEO, Mamenager, lazima awe Myahudi. Sasa, huo si Ubinafsi? Kwa mfano angalia structure ya uongozi ktk Time Warner Cable, from CNN to other cables channel news, utajua kwamba hawa jamaa wanaajri wenzao tu.
Kuanguka kwa power ya Israel kutategemeana sana na kuanguka kwa uchumi wa Marekani. As long as Marekani ipo on top, basi Israel wataendelea kuwa na power ya kuinfluence EU, UN, UN security council.
Sema Waisrael wanawasiwasi sana na China. Endapo China itakuwa Super Power zaidi ya Marekani, basi nguvu ya Israel itapungua ktk MidEast, uchumi, UN Security Council nk.
 
Back
Top Bottom