Pale Wanawake wanapokutana!

Pale Wanawake wanapokutana!

Attachments

  • mbege.jpg
    mbege.jpg
    18.2 KB · Views: 49
Binafsi mama yangu ukiongozana naye matembezini kama una haraka utajuta. Ni lazima apate maneno mawili matatu kwa kila mmama anayekutana naye.
Aah Mnyakyusa nini maana wanyaki kwa salam pia wapo poa
 
Anaweza kuongea na mwenzake lisaa lizima ndoo iko kichwani
 
sasa salam za siye wagogo ndo mwisho wa mAtatizo
 
Mimi dada yangu tukitoka pamoja tunarudi tofauti kila mtu kanuna
Nakumbuka nilikuwa namsindikiza mama kwa rafiki yake, wanaongea ndani then wanatoka nje wanaendelea kuongea wanajishtukia wamefika kwetu, inabidi tuanze tena kumsindikiza rafiki yake,wanaongea hadi wanashtuka tumefika tena kwa rafiki yake nae anaamua kumsindikiza kidogo mara paap wamefika kwetu......cycle inajirudia!
 
[emoji23] [emoji23] hahaa hii nayo kali hee
 
Hahaha mi kiboko ni bibi ukitembea naye lazima asalimiane na mdau wake tena dk 10+
Mpaka mfike home duuh
 
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji3][emoji23]
 
Back
Top Bottom