Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

Mambo yote anaweza akaweza ila kwenye kukadiria Moto!!,ukiweka Moto mdogo unaona unachelewa hapa ndo hutoka vitu visivyo vya sayari hii!!
Hahahaaa. Na hapo unakuta chapati zenyewe hata tano hazifiki.

Hata kusukuma bado kwake ni changamoto. Unaona hiyo duara ya chapati ilivyo na konakona. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaaa. Na hapo unakuta chapati zenyewe hata tano hazifiki.

Hata kusukuma bado kwake ni changamoto. Unaona hiyo duara ya chapati ilivyo na konakona. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Halafu mara jirani huyo hodii mpaka ndani!! Ndo umetenga kitu Cha namna hiyo! Unaweza ukasali kisulisuli Cha chapati kije kifanye mabadiliko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…