Pale unapotaka kuongeza nguvu za kiume!

Watu wanakula vyakula hafifu,pombe,konyagi,wanawake kibao.kwa nini wasiwe weak?
 
Watu wanakula vyakula hafifu,pombe,konyagi,wanawake kibao.kwa nini wasiwe weak?
Hiii nishida pia boss inabidi tuwe tu akula misosi mizuri kama dona na mboga za majani kutosha na matunda kama tikikiti maji pia na maboga ndizi nanasi karanga usaidia kuongeza nguvu na stamina katika tendo la ndoa pia tuache ponyeto na izi viagra sio nzuri
 
Kwa mtu ambae anashida iyo ya nguvu za kiume naskia sigwa herb wapo vizur unaweza kwenda uko ulajaribu kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…