stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Mambo huwa hivi[emoji16][emoji16]
Siyo zote angalia picha no. 5Halafu hao watoto wenyewe wanachekelea tu
Mi napenda mno watoto.Ila kusumbuana mida ya Movie au football hiyo siruhusu hata kidogoWanaume huwa hawapendi usumbufu wa watoto, they cant tolerate it. Wanajifanyaga tu watoto raha, ila kuwalea wanaogopa.
Sio wotee.. Mi nawapenda saanaWanaume huwa hawapendi usumbufu wa watoto, they cant tolerate it. Wanajifanyaga tu watoto raha, ila kuwalea wanaogopa.