PALE UNAPOJIHAMI USIITWE DUME SURUALI

Hapo alikuwa Scotland amma...kama sikosei hawa jamaa skate ndo vazi lao la asili haijalishi mwanamke wala mwanaume.
 
Safi Sana napenda Hilo vazi la hawa jamaa kwao ni kama pwani na kikoi
 
Kwa wascotish hiyo ni kama unavyoona mmasai amevaa lubega, ni traditional wear.
Lakini sio njema kwa mwanaume kuvaa hivyo,hasa wa kibongo
Hapo Benard Paul alizingua kwa maana unatengeneza maswali mengi kwa fans wako kuliko majibu.
Labda kwa kuwa mie umri umenipiga hatua,manake enzi zetu tunaimba NUTA JAZZ hatukuwa tukivaa hivyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…