Sukari siyo nzuri... Anajisababishia matatizo...[/QUOTE
Naona hii scene huyu jamaa ali onja msisimo si mchezo.Tupatie jna movie tafadhari!!!
Sawa kaka ila mbna anaoenekana kama hana pesa? hawatamfumua marinda kweli akishndwa kulipa bill?Inaitwa call me j
Huyu awaone watu wasio kunywa pombe wamuelekeze kitu kingine kinachowapa raha!!
Anaweka heshima bar halafu anaenda kutia aibu nyumbani maanake kisukari kitamuumbua!
Anaweka heshima bar halafu anaenda kutia aibu nyumbani maanake kisukari kitamuumbua!