Pale polisi anapozidiwa

Pale polisi anapozidiwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Hii clip nmecheka sana polisi kamkimbiza mtuhumiwa hadi akanyoosha mkono juu[emoji23]

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Kuna watu wanakunya haraka😂😂 mpigo mmoja tu kamaliza halafu hata hajajilazimisha wakati la kibongo bila kubana pumzi na kukunja sura kwa wale walioendelea zaidi wkt wa kupushi lazima apate kitu cha kushika ili akikandamize huku akiuma na meno wenyewe huita stamina😜

Halafu hilo polisi utakuta likiwa na bebi wake linamdanganya Mimi sifanani na wanaume wengine wakati alichotenda hapo kimeonyesha yeye ndo kapteni wetu😂😂
 
Huyo alikuwa na tumbo la kuhara
Tumbo la kuhara gani? Wakati kashusha kitu kizito kama kigongo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Dah! Kuna watu wanakunya haraka[emoji23][emoji23] mpigo mmoja tu kamaliza halafu hata hajajilazimisha wakati la kibongo bila kubana pumzi na kukunja sura kwa wale walioendelea zaidi wkt wa kupushi lazima apate kitu cha kushika ili akikandamize huku akiuma na meno wenyewe huita stamina[emoji12]

Halafu hilo polisi utakuta likiwa na bebi wake linamdanganya Mimi sifanani na wanaume wengine wakati alichotenda hapo kimeonyesha yeye ndo kapteni wetu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inavyoelekea huyu njagu mavi ndiyo yalimfanye awe mzito kukimbia hadi mwizi kusepa,naona kigongo kilikuwa golini kabisa ndiyo maana alipoinama tu kikachomoka fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sio aliemuua George kweli..😂
 
Back
Top Bottom