Pale mume anaposema hatajenga nyumba

Ahsante kwa kusaidia wanawake unafikiri hakuna wanawake wanasaidia wanaume na ndevu zao?
 
Ahsante kwa kusaidia wanawake unafikiri hakuna wanawake wanasaidia wanaume na ndevu zao?
Ni kweli kuna wakati mwingine lazima mtu usaidiwe na haijalishi ni nani atakaye kusaidia ila sio mara zote.
kwa mtu uliye kamilika sio lazima upige hesababu kwamba ukipatwa na shida utegemee mtu flani ndio atakaye kusaidia kwasababu huwezi jua wakati wewe unashida yeye huyo mtu atakuwa na hali gani.
 
Na hakuna mtu aliyekamilika hapo umeongopa watu wote tunategemeana.
 
Unaweza kukuta anafanya kibarua apate hela ya kula. Bible inasema asietunza wa kwao hafai ni bora asieamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…