Waarabu hawapendi shule kwa hiyo lazima wasome kwa shuruti.
Waarabu hawapendi shule kwa hiyo lazima wasome kwa shuruti.
Kabisa kabisa, mtoto ukimpenda sana mwisho wake utamharibu.Kuna muda panahitajika nguvu kwa faida yake
Sasa shemeji kama ni wewe utafanyaje kama mwanao hataki kusoma?Kusoma so vita jmn
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha!!! Matatizo ya kutokumia kinga hayo!
Hapo mzee ameikoki huku mtoto akishuhudia.mleta uzi umenifanya nicheke sn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]