Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Wakati mwingine ni bora kulazimishwa ili uzoee, wapo watoto wa ivo ila baada ya muda wanaanza kusoma wenyewe bila kulazimishwa.Hapoo hakuna kuelewa bal n kuinamsha kichwa tuu kwenye kitabu uangaliee ufunguee kurasa then useme nmemalza
Soki Nzambe adini akoboya soki
Nzambe afungole nomi oko tiya
Tembe okomono casi okotiyate
Nzambe asilo kosala ah tongola ekikoya na poto to kiya elikia na Nzambe to lingo mboka ya congo
Ndiyo maana jamaa wakaja na utii bila shuruti.Hapoo hakuna kuelewa bal n kuinamsha kichwa tuu kwenye kitabu uangaliee ufunguee kurasa then useme nmemalza
Hatari sana! Hapo ataelewa kinguvu nguvu.Hahahaha!
Watoto wengine wanaanza ubandidu tangu wakiwa wadogo na ukiwachekea tu wanakupanda kichwani.Wakati mwingine ni bora kulazimishwa ili uzoee, wapo watoto wa ivo ila baada ya muda wanaanza kusoma wenyewe bila kulazimishwa.
Kijana akifanya mchezo anajikuta aghera mjinimzee yuko serious
Mzee kachoka ujinga.Eti father of the year!, si ya kucheka lakini..
Kijana akifanya mchezo anajikuta aghera mjini