Pale moyo unapoumizwa

Nilikuwa najiuliza huyu mtu ana maana gani kufukua kaburi la miaka hivi kumbe mtoa mada mwenyewe. Ila huu uzi umenikumbusha wahenga wengi ambao nawamisi cha ajabu nawaona wako online au mimi ndio sielewi? Miss Neddy masai dada Honey Faith hem tokeni huko mafichoni.
Back to topic, I hope sasa umepona my love
 
Back
Top Bottom