Pale moyo unapoumizwa

pole kwa maswahibu yaliyokupata mwaya yote ni maisha
ila achana naye huyo utampata mwingine usimuwaze
ukimuwaza utajiletea magonjwa bure na ushindwe
kufanya mambo yako ya maisha cha kufanya
wewe fanya mambo yako tu achana naye
mbona mm nili:flypig::flypig: usijipe presha bestito
 
asante bestito nitazingatia
 
Attachments

  • 1400927500727.jpg
    1400927500727.jpg
    36.1 KB · Views: 94
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom