Pale mkorogo unapodunda...

Pale mkorogo unapodunda...

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Alitaka uzuri akajikuta anadhurika...
Ni vyema elimu ya madhara ya vippdozi hatarishi ikasambaa kwa watoto kwanza..jpg
 
Inasikitisha sana...
Hapo ngozi yake ipi uchi kabisa...
Ukim-scratch kupona majaliwa...

Cc: mahondaw
 
Mbona kapendeza acha wivu basi mkuu😀😀😀
 
Huyu bibi atakuwa alijichanganya wakati wa ujana sasa bado anapambana aambulie hata ya fungu la dagaa
 
Anakula nini kwanza, tuanzie hapo ili tujue uwezo wake wa kufikiri.
 
Wazungu wanatucheki halafu wanasema hiiiiii!
Nalog off
 
Back
Top Bottom