Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Mmmh, pamefikia point hiyo
Ngoja nirudi dar
Lazima kutakuwa na opotuniti ya uwekezaji hapo
Hata dawa za mbu za kuchoma
vipi milango ulikuwa umefunga vitasa..nasikiaga wanazama ndani ya mkoko bila hata ruksa..
Rudi upesi aisee ujionee hali
Tena leo weekend, ngoja tujisogeze maeneo
kumbe pamekua hivyo siku hizi?
Next week ntakuwa Dar
Sijui nani atanipokea ubungo?
Ungemchukua mmoja maana kuna watoto wakali sana pale
..kaka hao ni jirani zangu...mwanangu bzes mapeema kinoma!!anko karibuu....karibu tuongee...hatutashindwana njoo bana...ebo!!
pembeni kuna sehemu wanaita kwa babu hapo ni buku mbili huduma ya kulala kwa muda mfupi...
Sio vijana tu, hata sie wazee hua tunaenda.....Kumbe vijana nimewapa mchongo ALA! hahaha
Aisee wale hatari sana, kwanza nasikia hawachelewi kukuchomolea kisu kulaleki...
utanikuta stendi nimejaa tele,wewe ni He au She?Next week ntakuwa Dar
Sijui nani atanipokea ubungo?
utanikuta stendi nimejaa tele,wewe ni He au She?