Hii picha imebeba habari kubwa kuhusu utamaduni wa jamii fulani.Mleta picha kaficha hiyo stori katuacha tuishangae hiyo picha.
Liliwahi kurushwa na bwana harusi kwa vijana wa kiume wote walilikimbiaMsichana atakayedaka hilo UA Yeye ataolewa
Vijana walikimbia majukumuLiliwahi kurushwa na bwana harusi kwa vijana wa kiume wote walilikimbia
Bado wapo wapo kwanza...wanadanganyana...ya nini kufuga ng'ombe wakati maziwa yapo kibao mtaaniVijana walikimbia majukumu
uoga wao tu mbona kawaida tu