Kwa uzee alionao huyu mtu hata kama ana noti bora kwanza atumie mwenyewe. Maana mtoto anayemtaka anaweza kula noti zake bureeee halafu akaishia kushika na mkono basi. Kweli hela ya korosho noma. Kila siku nasema wala usiahindane na ulipo toka utakufa umefilisika hata mia huna
Kama huna nguvu za kuvikuna hivyo vitu utulie tu, haya mambo usimjaji mtu kwa kumtazama, kuna vibabu vinapiga show na mitaani tunaona kopi tu.
Huoni huyo babu alivyomsaundisha afande mapaka akakosa sababu ya kumkataa, hahahahaaaaaa kuna wazee nuksi
babu ukimuuliza miaka anakua mkaliii hahaaaaa, hii kasumba wanayo wasichanaaa, demu ukishamfikisha kwenye miakaaa mtakosanaaa, na ukiona demu hajakuficha umri wakee, huyoo kuna uwezekano asilimia 90 ya atakavyokuambia n kwelii