Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Hivi hali inakuaje ndani ya nyumba au ndo basi tu kuvumiliana?
Life hubadilika usijitakie kufa mapema kwa kuendekeza kanuni za kwenye makaratasi, kikubwa ni behaviors chemistry relationship mkiongozwa na Mungu kwa swala, ibada na imani thabiti.Hivi hali inakuaje ndani ya nyumba au ndo basi tu kuvumiliana?
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kweli, huwa tunawachangamsha sana....na vile introvert huwa wanajua vitu vingi, extrovert huwa tunawachallenge kwa maswali na ubishi....uhusiano unakuwa alive.Hivi unajua introvert katika kundi la anaofahamiana nao huwa zaidi ya extrovert.
kiufupi mkizoeana inakuwa smart relationship, na mnakuwa talkative sana
HahahahaKweli, huwa tunawachangamsha sana....na vile introvert huwa wanajua vitu vingi, extrovert huwa tunawachallenge kwa maswali na ubishi....uhusiano unakuwa alive.
Ila extrovert Kwa extrovert ndio ina mnogo, manake mnabishana, mnagombana....mkimaliza mnaanza kuteta ndugu na majirani....Raha sana.
Haha au sioNyumba huwa na utulivu sana kwani huja kuzoeana mfano mimi binafsi mtu kunizoea itamchukua si chini ya miezi sita tofauti na hapo ni salamu tu
Toa maana ya hayo manenoHivi hali inakuaje ndani ya nyumba au ndo basi tu kuvumiliana?
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app