wameizamini>>>>>>>>>>>>>wameidhaminihahahahah hakuna namna kama wa hisani wameizamini
Wasukuma huulizi mara mbili[Credit to Anko Kitime]
![]()
Wewe utakuwa mhaya na kama siyo mhaya basi unatabia za kihaya. Umekariri Kila picha mbaya wasukumaWasukuma huulizi mara mbili
Mimba nje ya ndoa mtoto ndani ya ndoaWanaoana? au wanabariki ndoa? Mbona bi harusi tayari?
Umejuaje mkuu!!!!? You must be geniusWewe utakuwa mhaya na kama siyo mhaya basi unatabia za kihaya. Umekariri Kila picha mbaya wasukuma
Jamaa alitanguliza mbegu shambaniKama kawa mimba first kisha michango ya Harusi. Naona bi harusi tayari hapo sijui miezi mitano au sita.
Kwa kweli kiswahili ni kigumu sana jamani mweeeeehhahahahah hakuna namna kama wa hisani wameizamini