Pale gharama ya kupigia debe kinga inapotosha kumaliza chanzo cha tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pale gharama ya kupigia debe kinga inapotosha kumaliza chanzo cha tatizo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAMENGAZI, Jun 17, 2011.

 1. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wana jf, kila nikisikia au kuona matangazo ya malaria haikubaliki kabisa, matangazo ya kuitaka kila familia ipate vyandarua kwa kujikinga na mbu waambukizao ugonjwa huo na semina na makongamano kwa ajili ya ku discuss issue hiyo napata shida kufikiria ni gharama kiasi gani iliyotumika na inayoendelea kutumika kwa matangazo hayo na manunuzi ya vyandarua hivyo na semina na makongamano na kujiuliza kama kweli isingetosha kuangamiza na kufutilia mbali kabisa mazalia ya mbu na usemi wa malaria haikubaliki kabisa ukaleta maana kuliko ilivyo sasa.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasihangaikie kuua mazalia ya mbu,vyandarua vyandarua..watu wanazidi kufa na malaria.
   
Loading...