Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Waziri wa Mambo ya nje ni mtu muhimu sana katika taifa. Ni mwanadiplomasia mkuu ukimuondoa Rais. Leo tnaye Palamagamba Kabudi, namba moja kuwaimbia Mabeberu Singeli.

Ni huyu Kabudi aliyekuja na sheria za hovyo zinazotufanya sasa hivi kuonekana vituko kimataifa. Ndiye Kabudi aliyesababisha wawekezaji wengi kuondoka Tanzania akiwa Waziri wa Sheria.

Huyu Kabudi anayeimba nyimbo za kuwakandia mabeberu ndiye aliyekuwa namba moja kuzunguka nchi za Ulaya kupiga magoti tusiwekewe vikwazo. Inakuwaje anawahadaa watanzania huku anaivuruga nchi?

Bila shaka, Kabudi ndio beberu namba Tanzania.
 
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
 
amejitapa kweli bungeni kuwa yeye ni kichwa tangu enzi hizo, amejifananisha na 'Yusufu/Yosefu' yule mtoto wa Yakobo aliyeuzwa na nduguze kisha akaja kuwa mkombozi wao, kamlizia kwa kutoa 'homework' kuwa tukasome 'surat yusuf' na kitabu cha mwanzo sura fulani hivi.
baada ya kumaliza kumsikiliza nikagundua kweli hawa maprofesa wetu wanatuona sisi wengine 'mbuzi' tu.
 
Mapato ya tanzania kwa kukadiria kiwango cha juu kabisa ni 1.4 trillin per month mara 12 ni 16.8 trillion budget ya serikali ni trillion 32! Go figure hizo 15.2 trillion za ziada zinatoka wapi?

Mikopo si tunakopesheka
 
OK labda nikuulize kulikuwa na umuhimu wowote wa yeye kusema HATOWAPIGIA MAGOTI WAZUNGU KUWAOMBA MSAADA.
kwani kuna mashindano kati yetu na wazungu?
Nani anayeteseka kati yetu na wao?
 
Mikopo si tunakopesheka
Ni kweli tunakopesheka sasa uwezo wetu ni lets say ktk mia sisi tuna uwezo wa kupata hamsini, halafu hii hamsini ww unasema tunakopa good, mwaka huu tunakopa then mwakani inatakiwa tulipe mkopo wa mwaka huu plus interest na pia tukope tena hamsini! Which means uwezo wetu wa kukopa na kulipa haviendani lazima tukapitishe bakuli kwa mabeberu kutusaidia
Mikopo si tunakopesheka

Ni kweli tunakopesheka! Sasa hapo ndipo wanapokuja hao wa kutukopea mabeberu imf, world bank, africa bank, chinese etc pia hapo ndo kuna mabeberu wa misaada! Ni kama mimi sina uwezo wa kujiendesha kibishara naenda kukopa crdb inayomilikiwa na mabeberu huku nikisema bora beberu ww kuliko beberu nmb!

Halafu baadaye naenda kupiga mzinga huku nimebeba magazeti yote ya nchi nampelekea balozi ( sijui alikuwa wa marekani yule mama nimesahau) kuna pic kabudi anamuonyesha balozi jinsi nchi ilivyo huru kihabari, hii iliyotokea pale gazeti la citizen lilipofungiwa!

Budget ya msimu huu tulikuwa na mapungufu ya 12 trillion! Tumekopewa tisa trillion na ma bank ya kibeberu na tukasaidiwa trillion 3 na mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…