Alex Tanzania
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 782
- 644
Yani hapo mkuu wakati una add folder za mziki..yenyew ita add folder zote za kweny simu yako..na ita play any playable audio au video..sasa kuepusha hayo..uta unmack folder zingine zile ambazo hutak player ideal nazo..sjui umenisoma mkuu?"Hahah mkuu unatakiwa uchague folder zako ambazo utataka ipite nazo..vinginevyo utaskia vyote"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu umeijaribu hii lakini??
Nafikiri hana habar za poweramp,hii player sio leo tu..tangu enzi za symbian uko haina mpinzani.Hivi mkuu umeijaribu hii lakini??
Hii ni habar nyingine, ukitaka uifaidi zaidi uwe na earphone/Headphone bora zaidi...halafu fanya setting kwenye equilizer kule weka base kidogo ayse yaani utadhani home theater imehamia masikioni....
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Tatizo njia ya malipo mkuu...Nunua tu mkuu sio ghali...inauzwa tsh 2400 hivi
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Hapa kwenye earphones tangu nimevunja beats mwaka jana mwezi wa 6 hadi leo sijapata earphone zinazoniridhisha... afu kitonga ahahahaHivi mkuu umeijaribu hii lakini??
Hii ni habar nyingine, ukitaka uifaidi zaidi uwe na earphone/Headphone bora zaidi...halafu fanya setting kwenye equilizer kule weka base kidogo ayse yaani utadhani home theater imehamia masikioni....
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Hapa kwenye earphones tangu nimevunja beats mwaka jana mwezi wa 6 hadi leo sijapata earphone zinazoniridhisha... afu kitonga ahahaha
Ahaaha kitonga mteremko mkuu... hizi earphone si unajua zipo hadi za milioni sasa dah! Wengine sisi mziki mkubwa ndio burudani yetuHahah kitonga ndio bei gani...Tafuta rock zircon bei yake affordable..ina balaaa sana
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Zinauzwa bei gani?Ukipata earphone za rock zircon sasa ndio balaa...ninazo hapaView attachment 848821
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Reasonable price shukrani bossUsd 7 had 10 mkuu znacheza hapo
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Aisee Mkuu hii kitu ni balaa inagonga kama sony music theatre 1000watts...Poa poa kaka...
Sent from my SM-G920P using Tapatalk