Pakua Poweramp,player isiyo na mpinzani

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
4,935
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
4,935 2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
4,935
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
4,935 2,000
Nilishatumia za kucrack sanaa....hawa jamaa huwa wanacheki licence verification kila baada ya 24 hrs...iko siku tu watakushika....nikaona isiwe inshu...nikaingia playstore nikainunua kwa 2700tsh...ili nifaidi vema

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Ni kwel mkuu jamaa wako strict sana..nimetumia pia crack nyingi walkua wanashtuka...ila tangu niipate hii..huu ni mwez kama wa 3 kimya..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
1,833
Points
2,000

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
1,833 2,000
Sasa mzee si tutakamatwa wafunge kama anavosema hapo juu wanakagua..God's Plan.
Na wakikushtukia hata upate crack nyingine haikubali...mpaka ufanye factory reset ya simu ndio unawez kutumia trial again...au hizo crack

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Messages
1,112
Points
2,000

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2016
1,112 2,000
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..


View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Baada ya kuinstall unlocker na yenyewe kuna process nyingine au nikusikiliza tu ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Messages
284
Points
250

Tish

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2014
284 250

Forum statistics

Threads 1,357,974
Members 519,129
Posts 33,156,856
Top