Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

"Hahah mkuu unatakiwa uchague folder zako ambazo utataka ipite nazo..vinginevyo utaskia vyote"

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hapo mkuu wakati una add folder za mziki..yenyew ita add folder zote za kweny simu yako..na ita play any playable audio au video..sasa kuepusha hayo..uta unmack folder zingine zile ambazo hutak player ideal nazo..sjui umenisoma mkuu?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
go east go west MX AUDIO Player is the best

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu umeijaribu hii lakini??
Hii ni habar nyingine, ukitaka uifaidi zaidi uwe na earphone/Headphone bora zaidi...halafu fanya setting kwenye equilizer kule weka base kidogo ayse yaani utadhani home theater imehamia masikioni....

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Nafikiri hana habar za poweramp,hii player sio leo tu..tangu enzi za symbian uko haina mpinzani.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hivi mkuu umeijaribu hii lakini??
Hii ni habar nyingine, ukitaka uifaidi zaidi uwe na earphone/Headphone bora zaidi...halafu fanya setting kwenye equilizer kule weka base kidogo ayse yaani utadhani home theater imehamia masikioni....

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Hapa kwenye earphones tangu nimevunja beats mwaka jana mwezi wa 6 hadi leo sijapata earphone zinazoniridhisha... afu kitonga ahahaha
 
Hahah kitonga ndio bei gani...Tafuta rock zircon bei yake affordable..ina balaaa sana
Hapa kwenye earphones tangu nimevunja beats mwaka jana mwezi wa 6 hadi leo sijapata earphone zinazoniridhisha... afu kitonga ahahaha

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hahah kitonga ndio bei gani...Tafuta rock zircon bei yake affordable..ina balaaa sana

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ahaaha kitonga mteremko mkuu... hizi earphone si unajua zipo hadi za milioni sasa dah! Wengine sisi mziki mkubwa ndio burudani yetu
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom