Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Umewahi kujaribu Player Pro?

Sijui hiyo Poweramp ina nini ambacho apks nyingine hazina
 
Kacheze nayo ndio utaijua...power amp imeanza kutamba tangu enz za symbian,,sasa sjui utasema nini
Umewahi kujaribu Player Pro?

Sijui hiyo Poweramp ina nini ambacho apks nyingine hazina
 
Jet mimi sjaipenda...by the way saiz nimeweka hiyo dsp napata sound kali kwa official player,,kama umewahi tumiaga cyanogen mod walikua wana player yao ya apolo wakaifungia na dsp yake,,ilikua balaaa sana
Naikubali jetaudio zaidi sijaona kipi poweramp inafanya jetaudio haifany zaidi!! Hadii nimeamua kui systemize kwa kutumia magisk systemizer.
 
Hii ya zaman sana mkuu
Niaje kiongozi.

Hope uko okay kabisa. Well, hapa nna Truecaller ya kulipia ila nafkiri bado kama wiki 3 hivi iishe muda wake.

Sasa nimepakua hii natakiwa ku-uninstall kwanza hii niliyonayo au naweza ku-install tu juu kwa juu...?

Thanks In Advance bro.
 
Poweramp naipenda kwa sauti kubwa na nzuri...mara nyingi hivi vi sabufa vinazidiwa....

Ila baada ya kunizingua nimetumia jet.....aisee ina equlizer nzuri sana unaskiza mziki mzuri sana
 
Poweramp naipenda kwa sauti kubwa na nzuri...mara nyingi hivi vi sabufa vinazidiwa....

Ila baada ya kunizingua nimetumia jet.....aisee ina equlizer nzuri sana unaskiza mziki mzuri sana
Jaribu kuweka dsp mkuu utafurahi
 
James dsp hatari hii
Screenshot_20190515-154933.jpeg
 
Sijawahi ijaribu labda sababu naona jetaudio yanitosha kwa sasa..
Nitaishusha siku nijionee
 
Me natumia poweramp kitambo sana nilinunua playstore natumia kwenye devices zangu mbili ambazo na share account ya gmail, hawa jamaa frequently wanaangalia kama ulinunua so kuna kipindi kama hauna internet na time imefika ya ku verify wanakwambia ufanye verification ambapo inabidi uunge kifurushi cha net ndio ufungue , ni player nzuri sana
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom