Pakistan school attack

Pakistan school attack

Status
Not open for further replies.
Kwa kawaida binaadamu ameumbwa na utu.Utu huu ndio unamfanya awe na maamuzi yanayofanana na binaadamu wengine kwenye haya huruma,aibu,woga.

Ukiwa kama binaadamu mwenye yote hayo hapo juu,hawa watu wa jihad watakushangaza tu.sasa kuna watu humu siwaelewi sjui ni mahaba ya dini au vipi!!!?

Yaan flani kwa sababu ni muislamu mwenzako hata akinya akapaka mavi usoni we uko upande wake tu.haya mambo ndio yanawavua nguo,na mnapohubiri kuwa uislam ni aman watu wanaona hamjielewi.

Nakumbuka hapa kwetu kuna mtoto alikojolea qur an,watu waliandamana kwa kusema kuwa huyo mtoto kaidhalilisha kitabu chao wanachoita kitukufu.na kuchoma makanisa juu.

Sasa hawa jamaa wanaoua watu kwa mgongo wa allah,na kama allah nae hataki wanayoyafanya means wanamdhalilisha,kwanini jamaa zangu siwaoni tena barabarani mkiwa na hasira kuu sababu alla kachafuliwa.KIMYA.

Je,mnaunga mkono jihadi?

Binafsi Nina mawili. Mosi si kweli hawa magaidi wamepotoka. Magaidi hawa wanafata dini inavyotaka kwa usahihi kuliko wanaojiita moderate. Ukitaka kijua hili tazama historian yao, alishaiweja hapa vasco da gamma. Ukumbuke kuwa uislamu haujawahi kuwa na reformation.
Hivyo miongozo mingi Inaegemea kwenye asili na mazingira ya zamani wakati dini inaenezwa.

Pili kwa kuwa wao neno likiandikwa kwenye Koran huwa hawawezi kukataa. Ndio maana hawawezi pinga wale wanaoeneza dini kwa kuchinja watu. ImeRuhusiwa..
Shida inawakabili ni pale wanapogombana wao kwa wao. Kwani hawana suluhisho zaidi ya wao kuchinjana.
Pia ukiwa so mwenzao ni rahisi wakakuchenjia kuwa wewe ndio chanzo. Dawa yao ni kuwaacha kama Isis wawe wanafunguana bucha wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
I still wondering why..eti Sina good news to hate..
Taja kundi na utaje origin yake.
These people are demons. They kill innocents, children, baby's women. They rape, mutilate their genitals. Spread hatred, they confused even Muslims within.

Iraq na Libya zilikuwa so bad wakati wa sadam na gadafi na sasa zipo much worse.
Na sababu za nyuma ndio zimewafikisha hapa.

Baibo inautaja mji wa babel uliolaaniwa na . Mungu kwa machukizo yake, ambao mataifa yameleweshawa kwa mvinyo wake na kupotoshwa. Je waarabu wako na cursed?
Why they love killings than peace.


Terrorists kill innocents in the name of Allah.at any point in time they kill Not in the name of Israel, USA. Russia or western power.that is where all the fuss is about.

You can not differentiate terrorism globally cause they all operatinv under the umbrella of Allah to assasin innocents.

Ujinga wa Princess Diana kukubali kuolewa na mwarabu. Ndio uligharimu maisha yake.
Diana haku fall in love with religion but with a muslim man(dodi). Muslims are not bad but the religion itself turns them into real monsters.
Hata hivyo inashangaza kufahamu kuwa wanawake wengi watakuwa jehanum. What about Diana now?
is Allah really hate women and love men instead? You tell me...?!.

Mauaji wafanyayo hawa wajahidina ni spiritual sacrifices kwa Allah.

Pia yanalenga kupambana na marekani na wazungu.kwakuwa wameendelea na sio waislamu.
Na yanaongozwa na viongozi wao wakina Alzarqawi. Osama, caliphates Albaghdad.
Koran Imeonyesha wazi pasi na shaka ni wapi wanapata hii guts ya kueneza dini kwa jihad.
Makundi haya yamejinadi kuwa ndio mkombozi sa uislamu duniani. Kwa hoja mbalimbali zinaOpata wafuasi.
Ndio
Maana yanavuna wafuasi wengi .
waislamu wanavyochukia wazungu Wanajitumia wao ili wapate pepo.

Wabunge wa urusi wameweza kutambua ukweli kihusu uislamu , wewe umeamua kutukana, sina cha kukusaidia , bali endelea na msimamo wako, kila la heri
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1418922734112.jpg
    uploadfromtaptalk1418922734112.jpg
    62 KB · Views: 33
incharge Kama ni kujitukana watakuwa wanajitukana wenyewe.
Wanapokeketa wanawake wanateka wanawake. Wanajichaguli wake humohumo. Wanachinja watoto.wanaua wasio waislamu.Isisbokoharam,ashshabaab,Taliban,alqaeda,Hama's etc
Duniani tunao muslim Wanaojiita moderate lakini ukweli ni kuwa hata hao moderate hawaonyeshi kupinga ugaidi. Kama wanavyopinga filamu ya innocents of Muslims ama fatwa kwa salman rushdie, au walivyopinga seneta wa marekani alivyotamka kuwa uislamu ni kansa ya dunia.

Kiujumla Hawaonyeshi kuwa wale magaidi ni waovu. Ama wanachafua uislamu wao.

Bali wanataka ku-justify uovu wao kwa kulinganisha na nchi za west. Ambapo hata uislamu haujaota mizizi kwao. Wakijua kuwa western ni secular States.
Wakati wakimbizi wa kiarabu wanakimbilia Ulaya mgharibi ambapo kumekuwa ni safe heaven every single day.
Kwa mfano; hakuna gaidi aliyepo ulimwenguni Leo hii anayeua innocents ambaye sio mwislamu.

Taja mAkundi yote utakuta yana majina ya kiarabu na yote yanavaa kiarafat.(ninja)na mbinu zao ni zilezile. Kuvamia maeneo ya RAIA na kuchinja watu kama majambazi na kujitangaza kuwa ni wao. Ili wajenge hofu(terror) katika jamii. Na zaidi ya yote yanajitamba kuwa wao ndio waislamu. Niliweka ayati za kora. pale juu..kuonyesha msingi wao ulipo. Kama una tafsiri tofauti na hii you may tell us.

Wabunge wa Russia hawakujadili Koran. Wamejadili politics. After all Moscow Imekuwa victim. Wa ugaidi wa chechnyia. Na marekani imekuwa ikiwakosoa russia kama ambavyo imekuwa ikikosoa mbinu za China wanapokabiliana dhidi ya wale magaidi separatists wanaopambana nchini kwake.
Ndio maana hata mataifa hata mawili hayamuungi mkono marekani direct kwenye Vita dhidi ya Isis. Kwakuwa yanajiona pia hayaungwi mkono.

Kaa ukijua siku hawa wakubwa wakingana ugaidi utaisha.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom