Pakistan school attack

Pakistan school attack

Status
Not open for further replies.

Mzee wa Shida

Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
66
Reaction score
5
Atleast 21 students killed and many injured. Taliban say they carried out the attack. Military say most staffs and students rescue. A teacher and a security guard also killed. 5 to 6 gunmen caused the attack.
 
Aisee! Hawa jamaa kwa nini Mungu aliruhusu dini yao iwepo duniani?
 
A group of gunmen have stormed an army-run school in the Pakistani city of Peshawar, killing at least 22 people -- including 17 children. The Pakistan Taliban -- Tehreek e Taliban Pakistan (TTP) -- claimed responsibility for the attack Tuesday.

Two teachers and an army official were also among those killed, while 47 people were wounded, according to Shehram Khan, health minister for the northwestern province of Khyber Pakhtunkhwa.

The Pakistan military said a rescue operation involving its troops is currently underway at the school, with gunfire being exchanged. It added that the bulk of the students and staff have now been evacuated.
 
Hakuna mtoto hata mmoja aliyeuawa! Ni false flag operation. Sijaona picha hata moja ikionyesha mwili/miili ya marehemu. Pia angalia video hiyo hapo chini uone jengo linalodaiwa kuwa ni shule! Umeona ofisi ya mwalimu mkuu? Haina fremu za milango? Hilo ni gofu wanatuzuga tu! Naamini ni propaganda at its best!

Last edited by a moderator:

Si kila kitu unapaswa kutetea. Kuna vitu hauhitaji brain kufikiria only spinal cord is enough.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hya majitu ndani ya miili ya binadamu ni madudu gani? Yote yanafanana. Yanayoua watu na yanayosema hakuna mtu anakufa ni propaganda. Majitu haya kwa nini yalipewa vichwa kama watu wa kawaida? Ninatamani yangekuwa na maumbile tofauti, hata kama chawa ama nguchiro, yasingekuwa yanaudhi kiasi hiki.
 
Mi sidhani kama kuanzisha thread kwa ajili ya kutukana dini ya mwenzako itakusaidia kuingia peponi wala hizi chuki unazozichochea zitakusaidia chochote.
Hii thread ilishaletw tangu jana ikachafua hali ya hewa ikafutwa na wewe kwa ushetani wako ukaona ulete tena halafu ndio unajiona mchamungu, I feel sorry for your ignorance.
 
Hilo jengo linalodaiwa kuwa ni shule kweli linafanana na shule?

Unavyofikiria wewe ndiyo hasa mataifa ya magharibi yanataka ufikiri hivyo!

Video nyingine hii hapa!

Si kila kitu unapaswa kutetea. Kuna vitu hauhitaji brain kufikiria only spinal cord is enough.

Hapo kwenye nyekundu nadhani AG alitumia hiyo kitu!

Last edited by a moderator:
Magaidi bila shaka yanaongozwa na shetani, kaziyao nikuua watuwasiokuwa na hatia.yani haiingiiakilini mtu anabeba bunduki alafu anaenda mitaani shuleni au sokoni than anaanza kuua watu hovyo this is just fu@#&ckn coward devils. Nikuyaua popote yalipo there is no need descation with such devils.
 
Mathayo 7: 16Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!17 Basi, mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema. ..........20Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao

images

8, verse 12: "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them."

Then there is the infamous verse of the sword in chapter 9, verse 5: "Slay the idolaters wherever you find them and take them
 
Mathayo 7: 16Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!17 Basi, mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema. ..........20Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao

Ni kweli hata shetani nae kwa nje hujifanya mwema huku moyoni amejaa chuki na nia mbaya, ukiangalia hata humu jf makafir wanahangaika sana kukashif na kuleta uchochezi ambao hauwasaidii kitu chochote , hii thread imeshaletwa zaidi ya mara nne tofauti baada ya kufutwa na admin lakini kafir ni kafir tu , hasikii raha bila ya kuvuruga amani .
 
Mkuu, kama ukweli unavuruga amani. Haki iko wapi? Basi waarabu watakuwa waKweli kuliko race yoyote duniani. Manake kwao Amani hakuna kabisa. Somalia ni janga jingine.

Uzi unawekwa ili watu wafahamu ukweli. Especially watu kama wewe.

Je wajua hawa Taleban wanasimania vifungu vipi katika kuua watoto na innocent civilians?.
Naona hutaki hata kujifunza, wakati verse hizi zinaweza kuwa msaada kwako.

Mada zinafungwa kwa sababu ya watu kama nyie msioweza ku-withstand ukweli unapojadiliwa na kuanza matusi.
na hii ni dalili kuwa na nyinyi ni miongoni mwa mnaopanga matukio. Na mnataka watu wasijue ukweli.
Kwa taarifa yako tunapinga ugaidi, ambao unaweza kuja tokea nchini kutokana na vichaa wachache wasio na elimu.
Huu uzi unasaidia kupunguza recruitment ya magaidi wanaoendelea kupelekwa kama kondoo wakafe kwa ajili ya ma-zeal wachache.
Chuki dhidi ya magaidj haitakiwi kulaumiwa na MTU yeyote mwema. Ugaidi wa kuua innocents ni
Ulusifery tu. Hauitaji kutetewa wala kupindisha maandiko ili kupunguza ukali.
 
Mkuu, kama ukweli unavuruga amani. Haki iko wapi?

Usipende kuchukulia vitu juu juu tu bila ya kufikiria especially wakati ambapo mataifa mbali mbali yapo kwenye kutanguliza maslahi yao rather than kueleza ukweli.
Hivi unajua origin ya hivi vikundi?
Hivi unajua kwanini isis wanaficha sura zao?
Unajua kiongozi wa isis kawa trained wapi?
Unajua kwamba U.S inahakisha middle east ipo unsettled ili iweze kustawi na israel.
Haya mambo na mengine mengi yamekuja siyo by mistake ila very well planed kuhakikisha interest ya us zinakuwa sustained.
How do u see , libya and iraq before US intervention.
US wala hana religious conflict na mtu yoyote kwake kuna kitu kimoja tu "interest" ndio maana hata bush alitaka kukabidhi moja ya bandari kubwa marekani kwa kampuni kutoka saudi arabia.
Uk waziri wa mambo ya nje alikuwa ni muislamu na muarabu, kama wao wanajua uislamu ni tatizo wadingeweza kumpa nafadi kubwa namna ile?

Juzi mbunge wa urusi aliomba vyombo vya habari vipigwe marufuku kuhusisha dini ya kiislamu na ugaidi , bungeni na kuungwa mkono na majority ya wabunge

Sasa wewe huku africa uliyefundishwa na hao wazungu kuhusu terrorism, unasababu gani ya kuanza kuchukia watanzania wenzakp na dini zao? Wakati hao wazungu humo nchini mwao wanakaa nao vizuri bila ya kudharauliana.
Hadi pricess diana alitaka kuolewa na muislamu.
Use your head my brother you have no good reason to hate.
 
I still wondering why..eti Sina good news to hate..
Taja kundi na utaje origin yake.
These people are demons. They kill innocents, children, baby's women. They rape, mutilate their genitals. Spread hatred, they confused even Muslims within.

Iraq na Libya zilikuwa so bad wakati wa sadam na gadafi na sasa zipo much worse.
Na sababu za nyuma ndio zimewafikisha hapa.

Baibo inautaja mji wa babel uliolaaniwa na . Mungu kwa machukizo yake, ambao mataifa yameleweshawa kwa mvinyo wake na kupotoshwa. Je waarabu wako na cursed?
Why they love killings than peace.

Terrorists kill innocents in the name of Allah.at any point in time they kill Not in the name of Israel, USA. Russia or western power.that is where all the fuss is about.

You can not differentiate terrorism globally cause they all operatinv under the umbrella of Allah to assasin innocents.

Ujinga wa Princess Diana kukubali kuolewa na mwarabu. Ndio uligharimu maisha yake.
Diana haku fall in love with religion but with a muslim man(dodi). Muslims are not bad but the religion itself turns them into real monsters.
Hata hivyo inashangaza kufahamu kuwa wanawake wengi watakuwa jehanum. What about Diana now?
is Allah really hate women and love men instead? You tell me...?!.

Mauaji wafanyayo hawa wajahidina ni spiritual sacrifices kwa Allah.

Pia yanalenga kupambana na marekani na wazungu.kwakuwa wameendelea na sio waislamu.
Na yanaongozwa na viongozi wao wakina Alzarqawi. Osama, caliphates Albaghdad.
Koran Imeonyesha wazi pasi na shaka ni wapi wanapata hii guts ya kueneza dini kwa jihad.
Makundi haya yamejinadi kuwa ndio mkombozi sa uislamu duniani. Kwa hoja mbalimbali zinaOpata wafuasi.
Ndio
Maana yanavuna wafuasi wengi .
waislamu wanavyochukia wazungu Wanajitumia wao ili wapate pepo.
 
Kwa kawaida binaadamu ameumbwa na utu.Utu huu ndio unamfanya awe na maamuzi yanayofanana na binaadamu wengine kwenye haya huruma,aibu,woga.

Ukiwa kama binaadamu mwenye yote hayo hapo juu,hawa watu wa jihad watakushangaza tu.sasa kuna watu humu siwaelewi sjui ni mahaba ya dini au vipi!!!?

Yaan flani kwa sababu ni muislamu mwenzako hata akinya akapaka mavi usoni we uko upande wake tu.haya mambo ndio yanawavua nguo,na mnapohubiri kuwa uislam ni aman watu wanaona hamjielewi.

Nakumbuka hapa kwetu kuna mtoto alikojolea qur an,watu waliandamana kwa kusema kuwa huyo mtoto kaidhalilisha kitabu chao wanachoita kitukufu.na kuchoma makanisa juu.

Sasa hawa jamaa wanaoua watu kwa mgongo wa allah,na kama allah nae hataki wanayoyafanya means wanamdhalilisha,kwanini jamaa zangu siwaoni tena barabarani mkiwa na hasira kuu sababu alla kachafuliwa.KIMYA.

Je,mnaunga mkono jihadi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom