Paka wanaitajika wakazi wa dsm

Paka wanaitajika wakazi wa dsm

umeshindwa kupata mwanamke bikra unataka ukaitoe ya paka, rafiki yake shetani wewe
 
Watazaaje na dume hakuna?
paka kama wanyama wengine mfano mbwa, ng'ombe, mbuzi n.k nao hufikia kipindi cha joto...nadhani umenielewa, kipindi hiki huangaika sana kutafuta midume, unaweza usigundue wanatoka mda gan kurud mda gan ila utastukia ni mjamzito....

mark my words.
 
Wakizaa nitawatupa watoto wao .sitaki gharama mimi
 
Yeye ni binadamu, huenda hana mtoto na bikra hana, angekuwa mnyama na hana mtoto angekuwa bikra sawa na maelezo yako[emoji23]
Hahahaha ako kanaitwa kaswali chonganishi , hapo tunapata maelezo tofauti tofauti matatu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom