Panya alikwenda kanisani kusali, akiwa amepiga magoti akageuka pembeni yake akamuona paka amekaa, panya akamwambia paka humu tumekuja kusali mambo ya kufukuzana na kulana hayafai huku, paka akamjibu huku tunakula mpaka mwili wa Yesu itakuwa wewe! we maliza kusali mi nakusbubiri hapa....