winston20
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 1,116
- 2,319
Cheka kidogo
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka
,
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka
,
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka
mmoja, wanakijiji wanaenda
deep zaidi msituni, kamata Paka
, leta kwa
mchina, mchina anasepa nao.
Afu wiki
mnayofuatia Mchina anasema bado anataka
Paka
, saivi atanunua kwa Laki. Wanakijiji
macho yamewatoka, hawana tena paka
.
Mchina anasema basi ntaftieni kwa Laki na
Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga
anauza Paka kijiji cha pili, anauza kwa
100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta
wanaenda nunua Paka


wote wa kijiji cha
pili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana
Mapaka

wakijua watamuuzia mchina fasta kwa
laki na nusu, Mchina hatokei Ng'oooo!!!!
Infact, yule mchina alikuwa anawakusanya tu na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji hiki.
Huu mchezo hauhitaji hasira
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka
,ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka
,wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka
mmoja, wanakijiji wanaendadeep zaidi msituni, kamata Paka
, leta kwamchina, mchina anasepa nao.
Afu wiki
mnayofuatia Mchina anasema bado anataka
Paka
, saivi atanunua kwa Laki. Wanakijijimacho yamewatoka, hawana tena paka
.Mchina anasema basi ntaftieni kwa Laki na
Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga
anauza Paka kijiji cha pili, anauza kwa
100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta
wanaenda nunua Paka



wote wa kijiji chapili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana
Mapaka


wakijua watamuuzia mchina fasta kwalaki na nusu, Mchina hatokei Ng'oooo!!!!
Infact, yule mchina alikuwa anawakusanya tu na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji hiki.
Huu mchezo hauhitaji hasira

