Mimi nimeipata jana....tan taraaaa!!
hii ndo naickia hapa leo...
cna wazo hata la uongo!
Ni zaidi ya ukatili Erickb52, sijawahi kusikia...daaah kama ni kweli hiyo ni dhambi isiyosameheka! Yanini kujitengenezea Karma mbaya hivyo?.Duh ni ukatili kweli...sipati picha ya maumivu yake
Hatukatai kuwa paka analiwa(bado sina hakika) tatizo ni hayo maandalizi ya kwenda kumla yanavyokuwa ya kikatili!.. Kutumbukiza kiumbe chenye uhai kwenye maji yaliyochemka wewe unaona ni sawa?Acheni ushamba hamna kitu ambacho hakiliwi . Hata binadam ukikaa vibaya kule kongo unatafunywa. Ndio ije kuwa paka ?
Itakuwa wewe ndiye ulikuwa unawasimulia akina Kaeso...Acheni ushamba hamna kitu ambacho hakiliwi . Hata binadam ukikaa vibaya kule kongo unatafunywa. Ndio ije kuwa paka ?
Kwa nini??Kwa herii MOMBASA SIENDI TENA.
Hii nimekutana nayo mtaani kwetu jana jioni wakati narudi toka kibaruani. Jamaa alikuwa anawasimulia wenzake namna paka alivyomtamu na namna anavyoandaliwa...............
"yaani yule unachemsha maji katika sufuria then unafunika, yakishachemka unamtumbukiza mzima mzima bila kumchinja kisha unafunika sufuria likiwa bado motoni, kwa sababu kumchinja ni kazi ngumu. Na pia tumboni mwake kuna sumu, kwa hiyo anapolalamika maji yataingia mdomoni kwenda kusafisha ile sumu...."
Ilibidi niondoke ili nisisikie ukatili zaidi anaofanyiwa paka. Watetezi wa wanyama wana kazi aisee!!!!
Hatukatai kuwa paka analiwa(bado sina hakika) tatizo ni hayo maandalizi ya kwenda kumla yanavyokuwa ya kikatili!.. Kutumbukiza kiumbe chenye uhai kwenye maji yaliyochemka wewe unaona ni sawa?
Itakuwa wewe ndiye ulikuwa unawasimulia akina Kaeso...
Ni kweli...tumeambiwa tuvitawale viumbe ila si kwa kiwango hicho...mtu wa hivyo anaweza mfanyia hata binadamu mwenzie.Ni zaidi ya ukatili Erickb52, sijawahi kusikia...daaah kama ni kweli hiyo ni dhambi isiyosameheka! Yanini kujitengenezea Karma mbaya hivyo?.
Kwanza kumla paka huoni kinyaaaa???huyu mnyama ana roho saba bila kutumia maarifa haliki mpnz .
Kwanza kumla paka huoni kinyaaaa???
Hao wana utofauti...paka ni paka tuKinyaa ni perception yako tu.
Kwa nini usione kinyaa kumla ng'ombe au mbuzi?