paka akalia kiti cha umeya kwa miaka 15 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

paka akalia kiti cha umeya kwa miaka 15

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUGO CHAVES, Jul 17, 2012.

 1. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  kutokana na wananchi kukosa imani na viongozi wao pindi wanapokabidhiwa nyadhifa fulani wakazi wa alaska walikubali paka awe meya wa mji wao hadi sasa ametimiza miaka 15 akiwa ofisini ,pamoja na manufaa mengine wanayopata kutokana na meya wao ni wageni wengi kumiminika ofisini kumuona paka huyo akiwa kwenye majukumu yake .fundisho kwa manispaa ya arusha jiji ambalo limekuwa na mvutano nani awe meya wa jiji hilo waige mfano huo
  chanzo yahoo news today
   

  Attached Files:

Loading...