golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Wakuu habari za majukumu.
Kijana wenu mwaka huu ni wangu kwa kupitia mitihani ya dunia. Nimepata tena tatizo lingine, kimfaacho mtu chake. Nimeamua kushusha bei ya gari langu ili nitatue tatizo la sasa. Naiuza hii gari kwa 6.9m tu.
-ina turbo
-Namba D
-100,000km
-1830cc
-full AC
-mziki system nzuri
-sports rim
-nice and comfortable springs
-viti vizuri na kava bado Mpya
-haijaguswa engine
-haijarudiwa Rangi
Mwenye kuhitaji kuiona na kuitest, simu namba 0716411720