golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #21
Asante mkuuIPO 5 m ndugu ukiwa poa njoo pm
Asante mkuuIPO 5 m ndugu ukiwa poa njoo pm
hakuna mwenye ela hapa mkuuWabongo wanapenda sana Mtu apate tatizo ili wapate kitonga kumlalia.
Wanao comment hapa 4mil ukute ndio walewale walio comment 6mil pale alipoanzia 8mil,
Hata angeanza 4mil ambayo hapa wanasema wanayo bado wangesema wana 2mil,
Pole kaka, utauza tu lakini
Asante mkuu5 mil
mkuu habari yako,naomba nikushauri kitu. unajua wengi hawaziamini hizi gari kutokana na uzoefu wa waliowahi kumiliki na kina sisi tuliosikia tu story zake. me ninavyojua mitsubishi ni gari nzuri sana tatizo wengi tumetekwa na toyota kutokana na spear zake kuwa nyingi.Wakuu bado gari lipo
Upo sahihi. Nitalifanyia kazi wazo lakomkuu habari yako,naomba nikushauri kitu. unajua wengi hawaziamini hizi gari kutokana na uzoefu wa waliowahi kumiliki na kina sisi tuliosikia tu story zake. me ninavyojua mitsubishi ni gari nzuri sana tatizo wengi tumetekwa na toyota kutokana na spear zake kuwa nyingi.
ninachokushauri ni kuwa bora umtafute mtu uweke bond gari yako,hata kwa nusu ya bei unayouzia then ukishamaliza matatizo yako unaenda kuligomboa hata kwa riba kidogo sio mbaya. maoni yangu ni hayo mkuu
....huna mvuto ....haaa..haaa...haa !Boss ipo 4m,ukiwa tayari nipm
Usipanic mzee ! Hiyo ni biashara.Wabongo wanapenda sana Mtu apate tatizo ili wapate kitonga kumlalia.
Wanao comment hapa 4mil ukute ndio walewale walio comment 6mil pale alipoanzia 8mil,
Hata angeanza 4mil ambayo hapa wanasema wanayo bado wangesema wana 2mil,
Pole kaka, utauza tu lakini
Anasema ukweli. Watu wanafurahia MTU akipata matatizo.Usipanic mzee ! Hiyo ni biashara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo wanapenda sana Mtu apate tatizo ili wapate kitonga kumlalia.
Wanao comment hapa 4mil ukute ndio walewale walio comment 6mil pale alipoanzia 8mil,
Hata angeanza 4mil ambayo hapa wanasema wanayo bado wangesema wana 2mil,
Pole kaka, utauza tu lakini
Hongera kwa kuuza mkuuMjadala umefungwa, gari imeuzwa rasmi Leo Kwa mwanajf mwenzetu. Nashukuru Mungu nitatatua yaliyokuwa yananikabili