chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,570
Hizo ni business ads(matangazo ya biashara) haziepukiki as long as hiyo page imewekwa ads hzo,ingawa haujasema kuwa sio page zote utembeleazo zina hiyo tabia.
Tatizo ni mfano nimeingia kwenye website ya muvi alafu nikachagua muvi ya kustream nikiclick pale kwenye ile muvi ili niiyone au inipe link ili nistream...kinachofunguka ni tofauti kabisa but ukijalibu Mara kadhaa inakubali ila ndio inakela sana
Ebu jaribu kuingia waptric kwenye smart phone zen chagua nyimbo ya kuipakua uone....hope umenielewa.
hio ni redirect script webmaster anakuforce kuclick tangazo bila wewe mwemyewe kujua.
solution yake ni adblocker tu. kama unapenda kudownload vitu vya bure bila adblocker utapata shida sana
Chief hiyo adblocker naipata wapi kwenye smart phone au playstore
Tatizo ni mfano nimeingia kwenye website ya muvi alafu nikachagua muvi ya kustream nikiclick pale kwenye ile muvi ili niiyone au inipe link ili nistream...kinachofunguka ni tofauti kabisa but ukijalibu Mara kadhaa inakubali ila ndio inakela sana
Ebu jaribu kuingia waptric kwenye smart phone zen chagua nyimbo ya kuipakua uone....hope umenielewa.
Afu mara nyingi sana, sites zenye porno ndo zina hilo tatizo mkuu.
Umenichekesha sana mkuu mdau mwenzangu wa site s tajwa.
Kwenye tovuti za piracy hii kitu ni ya kawaida sana. Yaani utateswa sana kabla hujapata kitu ulicho-intend kutafuta.