Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

8e74eec87a1e7d95dd8e0ea8492316e0.jpg


Tafuta hizi zinnaitwa Colour Me
Bei yake?harufu inadumu muda gani? Na ni ml ngap?
Natumia chastity ml 48 harufu inakaa adi masaa 48 (siku mbili)
Nilidhamiria kumuliza huyo jamaa.

Chastity by rasasi chief hii kitu imevamiwa na matapel wanachakachua vibaya mno.nilinunua moja nilijuta.wala sijaribu tena kununua
 
Vipo vile vidogo vya kupaka...vinauzwa sn kkoo..vinakuwa na manukato tofauti...lakini uwe makini maana ukivichanganya bila ujuzi
.unaweza kupata harufu sio salama..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom