Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Heheee..... Daladala za wapi hizo zenye pafyumu?
Huku kwetu Gmboto labda utanukia shombo ya Samaki...!!
Unakaa gongo la mboto?
Heheee..... Daladala za wapi hizo zenye pafyumu?
Huku kwetu Gmboto labda utanukia shombo ya Samaki...!!
ndio huwa inatokea
Habar zenu wana forum, sina elimu ya kutosha kuhusu hili, naomba msaada wenu. Eti hivi kutokana na ugumu wa usafiri, kupanda daladala na kubanana sana, je kama situmii pafyum inawezekana nikarudi ninanukia pafyum.
Jaribu magari ya mwenge - posta mbanano ukirudi full mixtape ya pafyum,johari,fa,kikwapa mpk unakuwa na harufu mpya kbs.Habar zenu wana forum, sina elimu ya kutosha kuhusu hili, naomba msaada wenu. Eti hivi kutokana na ugumu wa usafiri, kupanda daladala na kubanana sana, je kama situmii pafyum inawezekana nikarudi ninanukia pafyum.
Kwa wanaojua PHYSICS, kuna LAW OF DIFFUSION,vitu vyenye asili ya hewa vikiwa angan,kama MOSHI ukikupitia tu unanuka moshi,now kwa daladala inakuaje?Mtu akipulizia pafyum jiran pia unaweza kuisikia.Naskia siku hizi pafyumu zina osmosis na photosynthesis
inatokeaje hiyoooooooooo
Anakudanganya kaliwa huyo....
90% ya mmu members hawapandi dala dala, ni kwa mujibu wa "tafiti" niliyofanya...
90% ya mmu members hawapandi dala dala, ni kwa mujibu wa "tafiti" niliyofanya...
Jamii forum Kuna fake life mkuu. Kila mtu humu ana nyumba au amepanga appartment, ana gari, ana Maisha mazuri sana.
That isn't a reality. Ni kama IG tu....fake life
Kwa wanaojua PHYSICS, kuna LAW OF DIFFUSION,vitu vyenye asili ya hewa vikiwa angan,kama MOSHI ukikupitia tu unanuka moshi,now kwa daladala inakuaje?Mtu akipulizia pafyum jiran pia unaweza kuisikia.
unaweza kuisikia due to smelling mechanism
AIR WITH(UTURI) SUBSTANCE ENTER IN THE NOSE AND DISSOLVE IN THE MUCUS WITHIIN NOSAL CAVITY IN OLFACTORY BULB withiin olfactory bulb there is minute hair cells WHICH DETECT SUBSTANCE(withiin mucus) THEY BECOME STIMULATED AND THEN THEY GENERATE AN IMPULSE AND SEND IT TO THE BRAIN FOR INTERPETETION VIA OLFACTORY NERVE...sasa taarifa ikishachambuliwa katika ubongo ndipo utajua hii ni pafyum au harufu ya KONDA
Kweli Leo akili imetulia...hadi unashusha maBiolojia plus maChemistry na maPhysics.....
Hahahahaaaa....mi love u.

Umeaomeka