Pafyum zina mambo

Pafyum zina mambo

Jamii forum Kuna fake life mkuu. Kila mtu humu ana nyumba au amepanga appartment, ana gari, ana Maisha mazuri sana.
That isn't a reality. Ni kama IG tu....fake life

..hata Mimi nilisema kwa kebehi mkuu...
 
aisee usipime yaan mbanano kwenye daladala halaf ukutane na bidada kapiga pafyum kali lazima ikukae kwenye nguo zako,wengine tunapata wakati mgum tukirejea kwa mawaifu,wengine hatutumii pafyum so ukirejea na haruf ya pafyum utaitolea maelezo
 
Back
Top Bottom