Wadau, mimi nishachoka sasa kuishi bila kaunyuyu kidogo. Nina kahela kangu hapa hakazidi 25k naomba mnifahamishe pafyum nzuri ya ki-gentleman ambayo hata nikikaa na mtoto mzuri awish kuchill na mim muda wote.
Wekeni majina ya pafyum za ki-gentlemen tu hapa ambazo hazipungui 20k na hazizidi 25k