Padri

Padri

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Kama ni repost mtanisamehe

Padri alitangaza kila mtu atoe mchango kulingana na uzuri wa mke wake...bac watu wakaanza kutoa 50,000/=, 30,000/= na 20,000/=

Kuna jamaa akatoa 500/=
Padri akamuita akamuuliza...
PADRI: Ina maana mkeo co mzuri?
Jamaa akajibu...'Ukimuona utanirudishia na chenji.
 
Hahahahahaha haya bana

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Hahihiihi mungu wangu nimecheka sana mpaka naulizwa nn tena

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mia tano na ana uhakia padri atarudisha chenji.....balaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom