AKILImuchknow
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 14
Padri na Shekhe walikutana kwenye ndege.Padri akamkaribisha Shekhe kitimoto, Shekhe akasema huwa hatuli. Padri akasema mnakosa uhondo. Wakati wakushuka Shekhe akamwambia Padri nisalimie wake zako na watoto.Padri akajibu sie huwa hatuowi.Shekhe akasema mnakosa uhondo. Je kati yao nani anakosa uhondo zaidi?!