padri na mmasai.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
padri mmoja kila apitapo kijijini kuelekea kanisani humpata mmasai amekaa nje ya nyumba na mbuzi wake aliempenda sana.siku hio padri alimrai mmasai waende kanisani.kwa jinsi mmasai alivyompenda mbuzi wake akamuuliza padri nani ntamuacha anilindie huyu mbuzi? Padri akamjibu.usijali Bwana Yesu atakuchungia asiibiwe.Mmasai akakubali na wakaandamana na padri..ile kufika kanisani tu padri alianza kwa kuwaambia waumini ndugu zangu wakristu msiwe na hofu ya maisha kwa kuwa Bwana Yesu yuko hapa pamoja nasi..dah! Mmasai kuskia hivyo ilibidi atoke nduki kukimbilia mbuzi wake huku akiwaza yani padri ananiambia Yesu atalinda mbuzi wangu kumbe nae amekuja kanisani!!!
 
Reactions: mja
kwann wasinge enda na huyo mbuz kwa kanisa?
 
duh kwa kweli this guys kiswahili kwao ni mugumu sana
 
haha haha asije akakuta na mbuzi hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…