Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki.
Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online.
Fuatilia: Father Kitima
Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online.
Fuatilia: Father Kitima