ukitafakari sana utagundua kuwa kwa sasa ZAnzibar sio sehemu salama sana ya kuishi hususani kwa Wakristo.
Sikuzote Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadam Mchungu Jamaa hivi unaushahidi kuwa Waislam ndo Wamehusika ?
Je mbona walipouliwa Waislam Mwembe Chai mlikaa kimya?
Je mbona Sheikh alipomwagiwa tindikali mlikaa kimya?
Acheni kupotosha maana waache Police wafanye Uchunguzi ukweli utabainika
asante Yesu kwa kuniepusha kuoa muislam, maana ilikuwa almanusra!
hawa watu, wana matatizo sana,
Sikuzote Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadam Mchungu Jamaa hivi unaushahidi kuwa Waislam ndo Wamehusika ?
Je mbona walipouliwa Waislam Mwembe Chai mlikaa kimya?
Je mbona Sheikh alipomwagiwa tindikali mlikaa kimya?
Acheni kupotosha maana waache Police wafanye Uchunguzi ukweli utabainika
Israel waKristu ni kidogo mno, wengi wao ni wayahudi au wanafuata Judaism, wao bado wanamsubiri nabii wa mwisho, hawakumkubali Yesu na hawakumkubali Muhammad. Wao wanaishi kimila zaidi, ukiwachokoza watakufanyia vibaya mno.Kama Israel wanalipa kisasi, kwa nini sisi wakristo tunasita?
Utauwawa na wenzako wakapewe bikra 72.
Ninamfahamu Padre Mushi...kabla ya kuwa Z'bar nafikiri alikuwa Nairobi!mpole na mwenye hekima!nimefanya nao kazi na mwenzake Padre Manfred Mjengwa aliyeongozana na vijana kwenda Hispania mwaka jana!huyu Mjengwa ni Padre kijana mwenye muono wa kisasa sana,muelewa na anayeweza kuishi mazingra yoyote!alijitolea kuwafundisha vijana bila kujali tofauti za dini zao!Vip Fr.Mjengwa bado yupo Zenji?usalama wake je?vipi mna undugu nae?
Udini ni ajenda ya CCM ambayo imevaliwa njuga na JKikwete japo wao wanachukulia kama silaha ya kisiasa lakini inaanza kuleta madhara makubwa taratibu.mabingwa wa 'intelijensia ya polisi' wanashughulikia waliom'sms' makinda. Ofkoz wengine wapo mtwara kusaidia wataalam gesi kutinga dar. Hawana muda na intelijensia ya kuzuia uhalifu. What're early warning systems, security and peace
wakristo wategemee mengi zaidi, ikiwa watu wanaahidi na kutoa nyaraka zenye vithibitisho vya kuwashughulikia wakristo, na wakaendelea kutekeleza adhma zao bila measure zozote kutoka kwa watawala unategemea nini? tena mtawala anaposimaa na kuwatahadharisheni wote as if wote mna makosa, unategemea mwenye kosa hasa atakaa ajirekebishe? hata watoto wako ukishuhudia mmoja akimchokoza mwenzie, halafu wewe unawaambia wote acheni kuchokozana kaeni kwa amani, unategemea yule mchokozi ataacha uchokozi? never, kaeni sawa tu wakristo mkijua kabisa kuwa mko vitani. na viongozi wa kikristo ambao wangeweza tu kutahadharisha na kuongeleaa huko juu kuhusu hii hali ili solution ipatikane through level ya juu, wako hoi wamekamatwa ufahamu, hawajui hata wanachofikiria
Hakika, sote bila kujali tofauti zetu za kiimani, tuna lazima ya kuukemea uovu huu.