Padri EVARIST MUSHI APUMZIKE KWA AMANI.

Padri EVARIST MUSHI APUMZIKE KWA AMANI.

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
402949_437065689702097_426835145_n.jpg
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha maombolezi ya Padri Evarist Gabriel Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar,ambapo alifika kutoa salamu ya mwisho kwa Padri huyo,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Baadhi ya Waombolezaji wakiwa ndani ya Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar wakati wa kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao wakati alipofika katika Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]<form action="http://www.blogger.com/email-post.do" method="POST" name="emailForm" style="margin: 0px; padding: 0px;">Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia wananchi wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja. </form><form action="http://www.blogger.com/email-post.do" method="POST" name="emailForm" style="margin: 0px; padding: 0px;">
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
</form>



<form action="http://www.blogger.com/email-post.do" id="emailForm" method="POST" name="emailForm" style="margin: 0px; padding: 0px;">
</form>



[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Back
Top Bottom