MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 979
- 2,022
Kaminywa kidgo tu kasalimu amri 😀😀DONDOO ZAKE;
* Bado CCM ndio chama chenye uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 75%
* Ni ngumu kufanya mabadiko ya Katiba ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi
* Kanisa Catholic halijawaambia waumini wake wasishiriki uchaguzi
View attachment 3401780