Padre na sheikh.

Padre na sheikh.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Katika kusafiri ndani ya ndege padre mmoja alimkaribisha sheikh chakula.Ndipo Sheikh kamuuliza ni chakula gani.Padre kajibu ni sausage iliotengenezwa kwa nyama ya nguruwe.Sheikh kamjibu sisi haturuhusiwi kula nguruwe.Padre nae kamjibu basi mlikatazwa kitu kitamu sana.Walipotua uwanja wa ndege katika kuagana Sheikh kamwambia Padre,kasalimie mkeo na wanao.Padre akajibu,si unajua sisi haturuhusiwi kuoa ama kufanya mapenzi.sie watawa..Sheikh nae akamjibu basi nyie nanyi mlikatazwa kula kitu kitu kitamu zaidi ya sausage....!! 😛
 
Back
Top Bottom