Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

Padre Mapunda yuko sahihi 100%. We mtoa mada, maisha bora tuliyoahidiwa yamepatikana? Shilingi yetu inazidi kushuka thamani kila kukicha wewe unazungumzia mambo yasiyoeleweka
 
Wewe sakala sana baba yako na wewe ndo mliki bia milembe ndo maana unaandika povu tu na kutetea wanafki hao kama ulivyo wewe na hao wazee wako, bata weee[/QUOTE
jitahidi kutuliza akili unapoandika meseji au kuongea
 
hakupata ilee zaka ya esscrow maana wenzake walipitiwa na ile sadaka
 
Back
Top Bottom