gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
Padre mapunda huyaoni haya!
Mwanzoni mwa mwezi huu wakristo wote hapa nchini waliungana na wenzao duniani kote kwa kushsherekea sherekea sikukuu ya pasaka kama kumbukumbu ya ufufuo wa bwana yesu, karibu viongozi wote wa dini walihubiri amani na upendo na mshikamano pamoja na kuvumiliana katika dini.
Akiongoza ibada zote mbili ya ijumaa kuu na Pasaka katika Kanisa Katoliki la Manzese jijini Dar es Salaam, Padri Baptiste Mapunda alikuwa tofauti na viongozi wenzake yeye alihubir uchochezi uaasi na chuki akiwahimiza wafuasi wake kuiasi na kuichukia serikali iliyoko madarakani kwa sababu mbali mbali alizoziona yeye kwa akili yake na macho yake.
Huo ndio wivu mbaya kabisa alionao kiongozi huyo wa kiroho unaokwenda sambamba na chuki, fitina za malengo ya kisiasa, majungu na uchonganishi unaolenga kuwapandikizia hasira za uasi wananchi ili kukidhi matakwa yake mwenyewe na wapambe wake.
Anafanya kila anachoweza ili wafuasi wake wa kiroho wamfuate pia katika itikadi zake za kisiasa na chuki zake kwa Rais Jakaya Kikwete, CCM na Serikali ya Awamu ya Nne.
Sitaki niaminishwe kwa namna yoyote kuwa mahubiri yake hayo ni agizo la Kanisa Katoliki kutoka popote, hivyo nitabaki naamini katika moyo wangu wote kwamba hayo ni matakwa yake mwenyewe ya kisiasa na siyo ya kiroho na hata vinginevyo.
Ni ajabu kwa padri kusimama katika altare kanisani na kusema uongo huku akiwa ameshika Biblia Takatifu, lakini pia ni dhambi zaidi kuhubiri uzushi unaolenga kuwachonganisha watu ili wafarakane kwa namna yoyote.
Baadhi ya maneno aliyoyaongea padre huyo ni kama ifuatavyo " Ni miaka kumi sasa inaelekea kuisha tangu serikali hii ilipowaahidi watanzania maisha bora kwa kila mtanzania, lakini ndio kwanza watu wanalia kutokana na ugumu maisha"? Pia padre huyo anahoji juu ya mauaji ya walemavu wa ngozi na vikongwe, anahoji kwa nini tangu serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani kumekuwepo na hayo mauji haswa katika kipindi cha kuelea uchaguzi mkuu.
Badre wanaouwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na bibi na babu zetu vikongwe ni sisi waumini wenu na hapo inabidi mjiangalie viongozi wetu wa dini je mmeshindwa kutuhubiria injili na kutupa chakula cha kiroho mpaka tukapendana na kuacha mambo ambayo hayapendezeshi mungu.
Na mtawezaje kutuhubiria upendo wakati mwaishi maisha ya kifisadi na kutufanya misukule ya kutoa sadaka ambazo zinawafanya mtukanane na kupokonyana waumnini, viongozi wa dini imefikia hatua mnavunja mpaka ndoa za watu badala ya kuzijenga imefikia hatua watu hawaoni hata umuhimu wa kwenda kanisani an msikitini,
Binafsi nilisikitika sana baba Paroko Mapunda kuanza kuzaa vazi la wanasiasa katika madhabahu ya dini, nilijiula maswali haya yafuatayo, huyu pandre amekuwa agent wa vyama siasa au mwanaharakati au la kwa maana hata ukisoma makala zake katika magazeti hajulikani yupo upande gani
Labda nimkumbeshe padre mapunda kuwa maisha bora si kuwajaza pesa wanachi ili waje kujaza vikapu vya sadaka hapo parokiani, padre mapunda amekuwa aiksafiri mara kwa mara kwa njia ya ndege na usafiri wa barabara hajaona tofauti ya viwanja vyetu vya ndege miaka kumi iliyopita na sasa?
Padre mapunda huoni ongezeko la wanafunzi wa elimu ya juu na secondary ambalo limesababisha kuondolewa kwa neon la kuchaguliwa neon ambalo lilisababisha baadhi ya wanafunzi wetu wengi kukosa nasi za kuebdelea na masomo hali yakuwa walikuwa na uwezo darasani?
Hebu jaribu kwenda hospitali ya taifa ya Muhimbili ilivyo leo ipo sawa na enzi za marais kina Mwinyi na Mkapa, leo tumefikia kuwa na madaktari bingwa kadhaa ambo huko nyumba hatukuwa navyo, hospitali zetu leo zimekuwa na vifaa ambavyo tulikuwa tunaishia kuviona kwenye tv, huyaoni haya yote
Padre mapunda kwanini wajitia upofu wa kutoona mafanikia ya Dr. Jakaya Mrisho kikwete hebu angalia hali ya mawasiliano nchini mwetu ambapo serikali ya awamu hii imeunganisha mawasiliano mikoa na wilaya pamoja na tarafani mpaka vijijini hali ambayo haikuwepo huku chuma.
Naamini umri wangu na wako huenda tukawa sawa au umenizidi kidogo sana padre wangu hukumbuki tulipokuwa tunasoma chini miembe na mikorosho ambapo ikitokea mvua tu darasa linakufa paapo hapo katka enzi zile mwalimu haliyakuwa kaptura zenu zikiyaonyesha makalio yetu, hukumbuki enzi zile tunatembea zaidi ya kilometer kumi na tano kwenda shuleni tena pekupeku? Je leo yapo hayo kama yapo kwa asilimia chache sana naweza kusema ni zero point
Padre Mapunda hebu vua hiyo miwani ya mbao uone watumishi wa serikali leo wanavyoishi maisha yenye staha tofauti hata na wakati wa mwalimu ambaye umekuwa ukimtolea mifano mara kwa mara.
Leo hii hakuna tena tatizo la kufata mshahara kwa siku tatu au zaidi mabenki yamesambazwa wailaya zote za Tanzania au hujui pia kwamba waweza kutoa pesa zako za mshahara kutoka account yako mpaka kwenye simu yako kiganjani we padre huyaoni hayo au uchochochezi tu.
Padre huoni aibu kujisahaulisha eti yakuwa enzi za mwalimu hakuwa na migomo, mbona padre wangu wakuwa mrongo ingwa sipendi kulitumia kina hilo utaniwia radhi lakini ukweli humuweka mtu huru, lalda nikikumbushe kti kimoja wakati fulani enzi za mwalimu kulitokea mgomo Mzumbe Morogoro mwalimu alikwenda kuonana na wale wanafunzi na kuwauliza tatizo lao.
Wanafunzi ladba kutokana na changamoto za ujana walianza kumuorezeshea mwalimu matatizo yao ikiwemo chakula sio kizuri wanaishi kama jela, wanalala kitanda kimoja wawili wawili na mabo mengi tu
Badada ya mwalimu kuwasilikilaza aliwajibu hivi " mnaonaje wengine wakienda kumpumzika nyumani ili vitanda na chakula kiwatoshe watakaobaki mpaka serikali itakapopata pesa ya kununu chakula kizuri na vitanda vingine pamoja na magodoro ili muishi kama nyumbani badala ya kuishi hapa kama jela, matokeo yake wanafunzi wote wakanywea. Padere hukumbuki migomo ya chuo kikuu ya cha Dar es Salaa akina Msekwa
Padre mapunda mauaji ya vikongwe au watu wenye ulemavu wa ngozi haukuanza leo hapa nchini umesasahau mauaji ya vikongwe wa shinyanga ndio yaliyomfanya rais msataafu wa awamu ya rais Mwinyi kujiuzulu alipokuwa waziri wa mambo ya ndani miaka ya sabini, mbali na Mwinyi alijiuzulu pia aliyekuwa waziri wan chi ofisi ya waziri mkuu Peter Siyovelva pamoja na wakuu wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga akiwemo Peter Kisumo.
Padre mapunda umesahau mauaji na uchunaji ngozi yaliyokuwa yanatokea jijini Mbeya wakati wa serikali ya awamu ya tatu ya rais Benjamini Mkapa au wakati huo ulikuwa wapi hatukukusikai kukemea haya unayoyakemea sasa?
Mwisho labda nikuasae padre wangu usione waumini tupo kimya hatupendi mahubiri yenu ya kueneza chuki katika jamii, tunajua kuwa wewe na wakala wa Chadema na ukawa kumbuka sisi waumini wako ni wa vyama vyote unakuwa haututendei haki unapoisakama serikali yetu kwa mambo ya uzushi.:mimba: